7/21/16

Taarifa Kwa Umma Kutoka Wizara Ya Elimu

TAARIFA KWA UMMA

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia hivi karibuni ilitoa uamuzi kuhusu wanachuo 7,805 waliokuwa wanasoma stashahada maalum ya ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma.

Baada ya kutolewa kwa uamuzi huo kumekuwa na maswali mengi ambayo yamekuwa yakiulizwa mara kwa mara kufuatia uamuzi huo. Hivyo Wizara inawataarifu wale wote wenye maswali ama wanaotaka ufafanuzi wawasiliane na Wizara kwa kutumia namba 0784307462 au barua pepe   info@moe.go.tz

Imetolewa na:

Katibu Mkuu
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts