Timbulo akanusha kurejea kwenye kazi ya ualimu | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

7/4/16

Timbulo akanusha kurejea kwenye kazi ya ualimu

Timbulo amepinga taarifa zilizoenea kuwa amerudi kwenye kazi ya ualimu ambayo siku zote amekuwa akisema ndiyo kazi bora kwake.
90c8a860751b252e58c26f97e05856c4_XL-2
Akiongea na Bongo5, Timbulo amesema kuwa ‘sijawahi kusema nimerudi kwenye kazi ya ualimu hayo yote ni maneno ambayo yamekuwa yanatembea mtaani.’
“Siku zote nimekuwa nikisema kuwa kazi ya ualimu ni kazi yenye respect kubwa mimi nasema tofauti na kazi hii ninayoifanya ambayo respect yake ni ndogo sana,” alisema Timbulo.
“Huku unakuwa maarufu lakini ukienda kwa watu wenye heshima bado wanakuona ni mtu mhuni tu. Lakini nimekuwa nikisema kuna siku nitarudi huko,” aliongeza.

google+

linkedin