7/4/16

VODACOM NA TECNO WAZINDUA SIMU MPYA (SMARTPHONE) YA TECNO CAMON C9Sehemu ya wadau mbalimbali waliofika kwenye uzinduzi wa Tecno Camon C9,jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Vodacom Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Domician Mkama akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa Tecno Camon C9 ambayo itapatika kwenye maduka yote ya Vodaco yalipo Nchi nzimaa kwa bei ya shilingi laki (395,000) za kitanzania leo jijini Dar es Salaam.

Meneja Mauzo wa TECNO Mobile Tanzania, Fred Kadinala akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kua TECNO inawajali watumiaji wa simu zake hivyo kuamua kuwapa zawadi kubwa na kuwaruhusu waagize simu kwa bei ndogo ili wapate simu hiyo mapema Zaidi. jijini Dar es Salaam.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm