Contact us: yuvinusm45@gmail.com | email: yuvinusm45@gmail.com

We're Coming Soon

Tutarudi Baada ya Matengenezo

Tupo kwenye matengenezo ya Mtandao Wetu Tutarudi Mchakato Ukishakamilika, Tunaomba Radhi kwa Usumbufu Utakaojitokeza!

We are working very hard on the new version of our site. It will bring a lot of new features. Stay tuned!


days

hours

minutes

seconds

Subscribe to our newsletter

Sign up now to our newsletter and you'll be one of the first to know when the site is ready:

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger
Design by Yuvinusm

8/7/16

Bavicha: Tunaunga mkono Oparesheni UkutaBaraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) limetangaza kuunga mkono azimio la Kamati Kuu la kufanya mikutano nchi nzima kuanzia Septemba mosi, mwaka huu.
Akizungumza na vyombo vya habari, Mwenyekiti wa Bavicha, Patrobas Katambi amesema watafuata taratibu zote za kisheria ikiwamo kutoa taarifa na kuomba ulinzi wa polisi.
Katambi amesema ajenda za mikutano hiyo zitakuwa ni kupinga ukandamizaji wa demokrasia nchini, pamoja na kupinga hatua ya viongozi wa vyama vya siasa kukamatwa na polisi mara kwa mara bila sababu za msingi.
"Wote tunaona jinsi Serikali inavyoingilia mihimili mingine. Mahakama ndiyo chombo pekee ambacho kinatoa haki, kama mhimili huu unaingiliwa basi hata hukumu zinazofanyika zitakuwa za mashaka," amesema Katambi.