8/26/16

Chadema : Hatuhusiki na mauaji ya polisi


CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakihusiki na mauaji ya askari wanne wa Jeshi la Polisi yaliyotokea Jumatano usiku Mbande, wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam.
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu.
Tamko la chama hicho limetoka ikiwa ni siku moja baada ya jeshi hilo kuhusisha vifo vya askari hao na visasi vya kisiasa, ikiwamo kuzuiwa kwa maandamano ya operesheni Ukuta.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jana, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, alisema chama hicho hakijahusika kwa namna yoyote na mauaji ya askari hao na kimesikitishwa na vifo hivyo.
chanzo: Nipashe
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts