8/20/16

Kwaya ya mateja kutumbuiza Dar
Kwaya inayoundwa na watu waliokuwa wakitumia dawa za kulevya itatumbuiza kwenye tamasha lililoandaliwa na Usharika wa Kigogo wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwa ajili ya kusaidia watu wa aina hiyo.
Mchungaji kiongozi wa Usharika wa Kigogo, Richard Hananja amesema tamasha hilo linajulikana kwa jina la Tamasha la Mabadiliko, litafanyika kwenye Usharika wa KKKT Mabibo External kuanzia saa 7.00 mchana.
“Tamasha hili ni la pili. La kwanza tulilifanya Oktoba mwaka jana,” alisema Mchungaji Hananga. 
 
chanzo: Mwananchi
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm