Lissu aibuka kidedea tena mahakamani | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

8/20/16

Lissu aibuka kidedea tena mahakamani
Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki
Serikali imepigwa mweleka katika kesi ya uchochezi dhidi ya mshtakiwa Tundu Lissu baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutupa pingamizi la Wakili wa Serikali kutaka wakili Peter Kibatala kujitoa kumtetea mwanasiasa huyo.
Lissu, ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chadema  alipandishwa kizimbani Agosti 5, na kusomewa mashtaka matatu, mawili kati yake yakiwa ni ya uchochezi na moja la kuidharau mahakama.

google+

linkedin