8/21/16

Mabasi kuendelea na safari nchini

 1BBBB
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), kimesitisha uamuzi wake wa kuacha kutoa huduma za usafiri kwa mabasi ya mikoani kupisha ukaguzi wa magari hayo ili kuzuia ajali za barabarani.
Hivi karibuni Taboa walikubaliana kusimamisha safari za mabasi zaidi ya 4,000 kuanzia kesho kwa muda usiojulikana kutoa fursa kwa Kikosi cha Usalama Barabarani kufanya ukaguzi huo.
Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu amesema: “Serikali imeahidi kushughulikia kero zilizotulazimisha kuamua magari yetu yaende kufanyiwa ukaguzi na kusitisha safari zetu zote, hivyo tutaendelea na kazi.”
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm