Majambazi yauawa, polisi waanza kutoka eneo la tukio | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

8/26/16

Majambazi yauawa, polisi waanza kutoka eneo la tukioMajambazi ambao idadi yao haijajulikana wanadaiwa kuuwawa katika mapigano hayo kati yao na polisi huko Vikindu, wilaya ya Mkuranga leo.

Milio ya risasi na mabomu vilisikika kuanzia saa saba usiku katika eneo hilo ambalo majambazi hayo walikuwa wamejificha.

Habari zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa mpaka sasana magari ya polisi yanaonekana yakiingia na kutoka katika eneo la tukio Vikindu kwenye nyumba walimojificha.

google+

linkedin