8/19/16

MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YALIVYORAHISISHA MCHAKATO WA AJIRA.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (katikati) pamoja na baadhi ya Watendaji wakuu wa Wakala za Serikali baada ya kumaliza majadiliano kuhusu uimarishaji wa mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kutumia TEHAMA.
 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi (aliyesimama) akiwasilisha mada kuhusu matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yalivyorahisisha mchakato wa ajira na kupunguza gharama za serikali.
 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi  akiongea na baadhi wa Watendaji wakuu wa Wakala wa Serikali (hawapo pichani) wakati akifungua  jukwaa la kujadili uimarishaji wa mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kutumia TEHAMA.
Picha zote kwa hisani ya kitengo cha Mawasiliano Serikalini Sekretarieti ya Ajira Karika Utumishi wa Umma.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm