Contact us: yuvinusm45@gmail.com | email: yuvinusm45@gmail.com

We're Coming Soon

Tutarudi Baada ya Matengenezo

Tupo kwenye matengenezo ya Mtandao Wetu Tutarudi Mchakato Ukishakamilika, Tunaomba Radhi kwa Usumbufu Utakaojitokeza!

We are working very hard on the new version of our site. It will bring a lot of new features. Stay tuned!


days

hours

minutes

seconds

Subscribe to our newsletter

Sign up now to our newsletter and you'll be one of the first to know when the site is ready:

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger
Design by Yuvinusm

8/27/16

PICHA: TIGO FIESTA YATIKISA MJI WA KAHAMA USIKU WA JANA


Msanii wa Bongofleva Baraka Da Prince  akitumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta 2016 lililofanyika katika uwanja wa Taifa usiku wa jana Mjini Kahama na kuwakutanisha wasaniii wengine nguli hapa nchini katika mziki wa kizazi kipya.Christian Bella akilishambulia jukwaa la Tigo Fiesta 2016 katika uwanja wa Taifa mjini Kahama usiku wa jana .
 .

Chege Chigunda naye alitoa burudani ya kukata na shoka katika uwanja wa Taifa kwenye Tamasha la Tigo Fiesta 2016 Mjini Kahama  usiku wa jana.

Chege ChigundaJux akiwa na Dancer wake akitumbuiza wimbo wa Wivu katika jukwaaa la Tigo Fiesta 2016.


Maua Sama naye alipamba Tamasha la Tigo Fiesta 2016 katika Uwanja wa Taifa Mjini Kahama usiku wa Jana.

Rayvany naye akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fista 2016 ambapo aliwasimulia wananchi wa Kahama stori ya "KWETU" na jinsi anavyotafuta "KIKI"

Stamina akitoa michano katika jukwaa  la Tigo Fiesta 2016 usiku wa jana katika Uwanja wa Taifa .

Maelfu ya wakazi wa Kahama na maeneo jirani wakishuhudia burudani mbali mbali toka kwa wasanii waliotumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana.

Mashabiki 

IMOOOOOOOOOOOOOOO

Shanngwe zikiendelea katika uwanja wa Taifa wakati Tamasha la Tigo Fiesta likiendelea usiku wa jana Mjini Kahama.