8/21/16

Polisi wachunguza kupigwa diwani

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Fredinand
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linachunguza madai ya kupigwa kwa Diwani wa Kidahwe katika Halmashauri ya Kigoma Vijijini, Heri Kigufa na maofisa uhamiaji.
Diwani huyo, Heri Kigufa amedai kupigwa na maofisa tisa wa idara ya uhamiaji na kumnyang’anya vitu vyake kisha kumfunga pingu mikononi wakati alipokwenda kumwekea  dhamana ndugu yake ili atolewe rumande.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Fredinand Mtui amesema upepelezi wa madai hayo unaendelea ili kubaini ukweli.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm