8/9/16

Samia: Hatutaki Mawaziri MizigoMakamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.
Kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima maarufu Nanenane, kimehitimishwa kwa mawaziri wawili kusimamishwa jukwaani kutoa ufafanuzi kuhusu kero za wakulima nchini.
Maadhimisho hayo yaliyofanyika kitaifa mkoani Lindi, yalihitimishwa jana kwa hotuba ya mgeni rasmi Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, kuelezea kero alizokumbana nazo kwenye mabanda ya maonyesho ya wakulima aliyoyatembelea.
Samia alizitaja kero hizo kuwa ni ukosefu wa soko, bei duni ya bidhaa, upungufu wa maghala ya kuhifadhi mazao, migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji na kodi ya chakula cha mifugo
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts