8/5/16

TRA kuwabana wenye nyumba za kupanga


Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi,
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Richard Kayombo 

 Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imesema kuwa itaanza kuwabana wenye nyumba za kupanga ili waweze kulipa kodi.
Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Richard Kayombo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Amesema watazunguka nyumba kwa nyumba kuhakikisha wapangaji wanatoa mikataba na inalipiwa kodi.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm