‘Upole, kulindana vinaigharimu Serikali’ | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

8/19/16

‘Upole, kulindana vinaigharimu Serikali’


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi, George
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simbachawene. 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simbachawene amesema upole na kulindana ni chanzo cha matatizo yanayoigharimu na kuifedhehesha Serikali.
Akifungua semina ya wakuu wa shule zilizofanya vibaya katika mitihani mjini Dodoma ili kutafakari namna bora ya kuepuka hali hiyo, Simbachawene amesema katika maeneo mengi kumeibuka watu wasiokuwa na sifa za ualimu wanaofanya kazi hiyo na wengi wanatumia vyeti bandia.
Pia, amesema kuna walimu wanatumia dawa za kulevya, lakini wanaachwa wakiendelea na kazi hiyo.

google+

linkedin