Vifo vya watoto wawili vinavyohusishwa na imani za kishirikina Shinyanga | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

8/31/16

Vifo vya watoto wawili vinavyohusishwa na imani za kishirikina Shinyanga


Mtu wangu leo August 31 2016 Kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea Hekaheka iliyotekea Shinyanga ikiwa ni muendelezo wa Hekaheka ya August 30 2016, Hekaheka ambayo imezichukua headlines baada ya watoto wawili kuingiliwa kinyume na maumbile na kupoteza maisha ,  vifo ambavyo vinahusishwa na imani za kishirikina
Watoto ambao walifariki baada ya kuuguzwa kwa wiki mbili,  waligundulika na madaktari walikuwa wamefanyia kitendo cha kuingiliwa kinyume na maumbile hali ambayo ilisabaisha kuuguzwa kwa wiki mbili kabla ya vifo vyao.
Nahisi kuna imani za kishirikina kwenye vifo vya watoto hawa maana hata vifo vyao vilianza kwa misusuko, tunaishi kwa kweli kwa vitisho sana yaani kwenye hii nyumba kuna wakati tunasikia kuna vitu vinatembea muda mwingine tunaitwa majina nyakati za usiku‘>>>Mama mdogo

google+

linkedin