WANACHUO 1168 WA PROGRAMU YA STASHAHADA YA UALIMU WA ELIMU YA MSINGI KUTOKA UDOM KWENDA VYUO VYA UALIMU AWAMU YA PILI | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

8/1/16

WANACHUO 1168 WA PROGRAMU YA STASHAHADA YA UALIMU WA ELIMU YA MSINGI KUTOKA UDOM KWENDA VYUO VYA UALIMU AWAMU YA PILI

emblem
Wanafunzi 1168 wa programu ya Stashahada ya Ualimu wa Elimu ya Msingi, wenye ufaulu wa Daraja la II-III wamepangiwa kuendelea na masomo yao katika vyuo vya ualimu kwa gharama zao wenyewe. 

google+

linkedin