8/17/16

Wanafunzi Hewa Arusha Wafikia 907

 
WANAFUNZI HEWA: Mkuu wa wilaya ya Arusha, Mrisho Gambo amesema wilaya hiyo imebaini wanafunzi hewa 907 katika shule za Msingi 12 ambao wamesababisha hasara ya Sh3.9m. Ameagiza wakuu wa shule hizo wajieleze.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts