8/7/16

Zitto na Ommy Dimpoz baada ya kusikia Manji anataka kuikodi Yanga


August 6 2016 Mfanyabiashara na mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji katika mkutano mkuu na wanachama wa Yanga aliomba wanachama wamkodishie timu ya Yanga na nembo ya klabu kwa kipindi cha miaka 10 kwa kigezo kuwa timu imekuwa ikijiendesha kwa hasara na kuwa mwaka unaokuja itashindwa kuepuka hasara ya bilioni 1.9, hivyo anaomba akodishiwe timu na mali za klabu ziendelee kuwa chini ya klabu kama kawaida.
Baada ya Zitto kabwe na Ommy Dimpoz kusikia hilo wameandika haya kwenye kurasa zao za facebook na Instagram…..
zitto ommy
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts