9/1/16

Hali Halisi ya Rujewa Hivi Sasa Kupatwa Kwa JuaHali Halisi ya Rujewa Hivi Sasa.

 Hali ilivyo kwa sasa ni Giza

Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akiwaongoza wananchi mbalimbali kuangalia tukio la kupatwa kwa jua
 
Jua likiwa limekamatwa vilivyo

Umati wa watu waliokusanyika kushuhudia #KupatwaKwaJuaKipete
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts