9/10/16

Kibaka ajifanya ‘popo bawa’ apora, awaingilia wake za watu

KATIKA hali isiyo ya kawaida, kijana anayedaiwa kuwa kibaka mjini hapa, amezua taharuki kwa wakazi wa eneo hilo baada ya kujifanya popo bawa na kuwaingilia kimwili wanawake kimiujiza na kuwapora simu na fedha.Tukio hilo limetokea kutokea Septemba 6, na kaya tano zimeshaingiliwa kwa kuporwa simu na pesa huku wanawake wakifanyiwa mchezo mchafu bila ya waume zao kujua, kwa kulala usingizi mzito.

Wakizungumzia tukio hilo, wananchi hao walisema kumekuwa na uporaji kwenye nyumba zao bila ya kuvunjwa milango, na baada ya uvamizi huo, wanawake hufanyiwa vitendo vichafu, huku waume zao wakiwa wamelala fofofo na kisha mtu huyo kutokomea kusikojulikana.

Kwa habari zaidi >> NIPASHE
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm