Contact us: yuvinusm45@gmail.com | email: yuvinusm45@gmail.com

We're Coming Soon

Tutarudi Baada ya Matengenezo

Tupo kwenye matengenezo ya Mtandao Wetu Tutarudi Mchakato Ukishakamilika, Tunaomba Radhi kwa Usumbufu Utakaojitokeza!

We are working very hard on the new version of our site. It will bring a lot of new features. Stay tuned!


days

hours

minutes

seconds

Subscribe to our newsletter

Sign up now to our newsletter and you'll be one of the first to know when the site is ready:

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger
Design by Yuvinusm

9/11/16

Mabasi ya Mwendokasi Sasa ni Dodoma

Baada ya kuanza kwa mafanikio kutoa huduma za usafiri katikati ya Jiji la Dar es Salaam, mabasi ya mwendokasi sasa yanatakiwa yatue mjini Dodoma.

Mbunge wa Kilolo mkoani Iringa, Venance Mwamoto ameishauri Serikali kuweka mpango wa kujenga njia za mabasi hayo ili kuepuka msongamano unaoweza kutokea baada ya Serikali kuhamia.

Mwamoto amesema tangu Serikali itangaze kuhamia Dodoma kumekuwa na ongezeko la watu wanaohitaji maandalizi ya huduma mbalimbali.

“Serikali isisubiri Dodoma iwe kama Dar es Salaam ili tuanze kuhangaika, mabasi ya mwendokasi yatasaidia ujenzi wa uchumi kwa kasi kwa sababu watu hawatatumia muda mrefu barabarani kama ilivyo kwa Dar es Salaam, hasa maeneo yasiyo na usafiri huo,” amesisitiza.


Akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (LAAC) walipotembelea mradi huo hivi karibuni, Mkurugenzi Mtendaji wa Dart, Ronald Rwakatare alisema hivi sasa wapo kwenye mkakati wa kuendelea na ujenzi wa barabara za mwendokasi awamu ya pili jijini Dar es Salaam.