Contact us: yuvinusm45@gmail.com | email: yuvinusm45@gmail.com

We're Coming Soon

Tutarudi Baada ya Matengenezo

Tupo kwenye matengenezo ya Mtandao Wetu Tutarudi Mchakato Ukishakamilika, Tunaomba Radhi kwa Usumbufu Utakaojitokeza!

We are working very hard on the new version of our site. It will bring a lot of new features. Stay tuned!


days

hours

minutes

seconds

Subscribe to our newsletter

Sign up now to our newsletter and you'll be one of the first to know when the site is ready:

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger
Design by Yuvinusm

9/22/16

MATOKEO YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU VYA SERIKALI KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu waombaji wote wa kozi za Ualimu kupitia Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS) na Umma kwa ujumla kuwa matokeo ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya Ualimu vya Serikali yamekamilika.  Aidha, Majina ya waombaji waliochaguliwa kwa kila kozi itolewayo na chuo husika yameshakabidhiwa vyuoni na yanaweza patikana pia kupitia kurasa (Profile) zao binafsi pia kupitia mfumo wa Matokeo kwa kubonyeza hapa.

Kwa wale ambao hawakuchaguliwa wanaweza pata sababu za kutochaguliwa kwao kupitia kurasa zao binafsi (profile) kama vile:
  1. Sifa za muombaji kuwa pungufu kulinganisha na sifa za chini za kozi husika; 
  2. Nafasi za mafunzo katika chuo na kozi husika kujaa kutokana na ushindani wa waombaji wenye sifa za juu zaidi; na 
  3. Kutoambatanisha vyeti vya matokeo ya masomo kwa baadhi ya waombaji.
Waombaji ambao hawakuchaguliwa wanashauriwa kusoma kwa makini sababu hizo na kufuata ushauri unaotolewa ili kuweza kuchaguliwa katika uteuzi unaofuata bila gharama ya ziada.

Imetolewa na
Ofisi ya Katibu Mtendaji
NACTE
Tarehe: 14 Septemba, 2016