9/7/16

Mo Foundation kufadhili wanafunzi Elimu ya Juu

Image result for MODewji  Foundation
Taasisi ya MODewji  Foundation jijini Dar es Salaam inatarajia kuanza kuwasomesha wanafunzi waliofaulu vizuri kwenye mitihani yao ya kidato cha sita lakini wakakosa pesa za kuendelea na elimu ya juu.

Mpango huo utakaoanza katika mwaka wa masomo 2016/2017 utawanufaisha wanafunzi watakaodahiliwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Akizungumza na waandishi wa habari, mkurugenzi wa taasisi hiyo, Barbara Gonzales amesema wanafunzi watakaokidhi vigezo vilivyowekwa watalipiwa ada, malazi na chakula kwa kipindi chote cha masomo yao.

Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm