9/19/16

MUM-Muslim University of Morogoro: Approved Names from TCU for Degree Programmes for 2016/2017


Image result for muslim university of morogoro
MAJINA YA AWALI YA WALIOOMBA MUM, AMBAO WANASUBIRI UTHIBITISHO WA TCU
Majina yafuatayo ni wanafunzi walioomba kujiunga na MUM awamu ya kwanza na kuthibitishwa na chuo. Kutokana na kanuni; majina haya yanasubiri kuthibitishwa na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU); kwa sababu hizo chuo hakitatoa barua za maelekezo ya kujiunga na chuo hadi pale TCU watakapowathibitisha.
Hata hivyo, kila mwanafunzi mwenye taarifa kamili na sahihi kama alivyotutumia na kama zilivyo hapa hakuna shaka kuhusu kuchaguliwa kwake!!!
Kama umetuma maombi na jina lako halipo hapa tafadhali tupigie simu mapema kuanzia tarehe 19/09/16 hadi 26/09/16! Zingatia kuwa hii ni awamu ya kwanza na tutaendelea kutoa awamu nyingine!
HONGERENI!


Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm