9/7/16

Mwigulu:Hakuna Mtanzania atakayefuatwa kwake ili kutoa fedha kulipa deni la Taifa.


Serikali imesema hakuna Mtanzania hata mmoja ambaye atafuatwa nyumbani kwake ama katika eneo lake la biashara kutakiwa kutoa fedha ili kulipa deni la taifa bali ni Serikali kuu ndiyo itakayowajibika kwa hilo.
Kauli ya Serikali imetolewa bungeni mkoani Dodoma na Waziri wa mambo ya Ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ambaye alikuwa akitoa majibu wa nyongeza kufuatia swali la nyongeza la Mbunge wa Hai,Mhe.Freeman Mbowe aliyetaka  kujua mikakati inayofanywa na Serikali kudhibiti ukuaji wa deni la taifa.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm