9/2/16

Mzee Aagiza Azikwe Huku Amekaa...Azikwa na Jeneza la Aina yakeMzee mmoja huko Wilayani Maswa aliacha wosia kuwa atakapofariki azikwe kwenye jeneza akiwa amekaa.

Watoto na ndugu zake wametekeleza hapo jana baada ya kutengeneza jeneza ambalo lilimfanya mzee huyo ahifadhiwe akiwa amekaa.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm