9/2/16

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA PIA AWAPONGEZA JWTZ KWA KUTIMIZA MIAKA 52 TANGU KUANZISHWA KWAKE.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Doto James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua moja ya ndege za Kivita wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ zilizofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji wa anga  (Air Wing) Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania  Jeneral Davis Mwamunyange akiwa pamoja na Maafisa na wapiganaaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakimpigia makofi Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati akizungumza katika kilele cha kilele cha Maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Air Wing Ukonga jijini Dar es Salaam.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania  Jeneral Davis Mwamunyange mara baada ya kuzungumza katika kilele cha Maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania  katika kikosi cha Usafirishaji wa anga (Air Wing) Ukonga jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts