RAIS MAGUFULI AWASILI PEMBA KWA NDEGE YA ATCL KWA ZIARA YA SIKU MBILI. | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

9/2/16

RAIS MAGUFULI AWASILI PEMBA KWA NDEGE YA ATCL KWA ZIARA YA SIKU MBILI.Rais John Magufuli akiwa ameambatana na Mkewe Mama Janet Magufuli,wamewasili Pemba kwa ziara ya kikazi ya siku mbili Visiwani humo,na kupokelewa na wenyeji wao kwa kutumia usafiri wa Ndege ya shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
 Rais Magufuli akizama kikundi cha ngoma mara baada ya kuwasili uwana wa ndege visiwani humo,ambapo baadea atalekea Unguja kwa ziara ya kikazi.

google+

linkedin