9/2/16

SARPCCO Extraordinary Meeting 14 - 16 Septemba, Arusha Tanzania
JESHI LA POLISI NCHINI LINAWAJULISHA KUWA, TANZANIA INATARAJIA KUKABIDHIWA NAFASI YA UENYEKITI WA SARPCCO MWAKA HUU. ZOEZI LA MAKABIDHIANO LITAFANYIKA HUKO MKOANI ARUSHA MNAMO TAREHE 14 – 16 SEPTEMBA, 2016 NA KUSHUHUDIWA NA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KANDA YA KUSINI MWA AFRIKA. MKUTANO HUO MAALUM UNAJULIKANA KAMA“SARPCCO EXTRA ORDINARY MEETING”.

IMETOLEWA NA OFISI YA:

INSPEKTA JENERALI WA POLISI

MAKAO MAKUU YA POLISI.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts