SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL) LAPATA MWENYEKITI MPYA WA BODI NA MKURUGENZI MKUU | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

9/16/16

SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL) LAPATA MWENYEKITI MPYA WA BODI NA MKURUGENZI MKUU

ladislaus
Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Ndege la Tanzania ATCL Mhandisi Ladislaus Ernest Matindi akitokea nchini Senegal ambako alikuwa akifanya kazi.
index

google+

linkedin