9/24/16

UTAFITI: Idadi ya vifo vya Ukimwi nchini yaongezeka

Image result for virusi vya ukimwi 
 Idadi ya watu waliofariki dunia kwa ugonjwa wa Ukimwi nchini Tanzania imeongezeka kutoka 29,554 mwaka 2014 hadi 37,000 mwaka 2015.
Kitakwimu, idadi hiyo ya vifo ni sawa na watu 101 kufariki dunia kila siku nchini kutokana na ugonjwa huo.
Akiwasilisha matokeo ya utafiti huo ulioko hatua za awali kwenye mkutano wa wanasayansi uliofanyika Nairobi juzi, Wakati utafiti wa mwanasayansi wa Kenya, Profesa Thumbi Ndung’u amesema alifanya utafiti wa tiba hiyo kwa mtu aliyepata maambukizi ya VVU punde, kwa kumpa dawa za kufubaza makali ya Ukimwi (ARV) na baada ya miezi michache alipopimwa tena hakuonekana kuwa na virusi vya maradhi hayo.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts