9/13/16

Wahitimu wa Shahada Katika Masomo ya Sanaa Kufundisha Shule za Msingi-Jaffo


BUNGENI DODOMA: Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jaffo asema wahitimu shahada za sayansi ambao si walimu kupatiwa mafunzo maalum wakafundishe na wale wa sanaa ambao hawatapata nafasi sekondari watafundisha shule za msingi.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm