Contact us: yuvinusm45@gmail.com | email: yuvinusm45@gmail.com

We're Coming Soon

Tutarudi Baada ya Matengenezo

Tupo kwenye matengenezo ya Mtandao Wetu Tutarudi Mchakato Ukishakamilika, Tunaomba Radhi kwa Usumbufu Utakaojitokeza!

We are working very hard on the new version of our site. It will bring a lot of new features. Stay tuned!


days

hours

minutes

seconds

Subscribe to our newsletter

Sign up now to our newsletter and you'll be one of the first to know when the site is ready:

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger
Design by Yuvinusm

9/19/16

Watanzania milioni 39 hawana vyeti vya kuzaliwa

NUKUU
“Hali ya usajili wa vizazi nchini
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), Emmy Hudson amesema kuna changamoto kubwa katika usajili wa vizazi na vifo kiasi kwamba ni asilimia 13 tu ya Watanzania waliosajili na kupewa vyeti vya kuzaliwa.
Kwa takwimu hizo, ina maana takriban watu 39,088,163 kati ya 44,928,923 waliopo nchini kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya 2012 sawa na asilimia 87, hawajaandikishwa.
Akizungumza katika mahojiano maalumu ofisini kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Hudson alisema sababu za mifumo ya ukoloni iliyobagua watu katika usajili na Sheria ya Usajili vimechangia hali hiyo.
Alisema kutokana na hali hiyo Tanzania iko nyuma kwa usajili wa vizazi barani Afrika ikifuatiwa na Somalia yenye matatizo ya vita kwa muda mrefu